Category Archives: HABARI ZA SIKU

Katika kurasa hizi, tunakuletea habari mbali mbali kama zinavyoripotiwa na waandishi wetu wa habari kutoka mkoa wa Kagera hususani wilaya za Karagwe, Missenyi, Muleba na Bukoba. Habari hizi ni zile zilizoriotiwa na kutangazwa kupitia kituo chetu cha RADIO FADECO 100.8 FM, iliyoko katika wilaya ya Karagwe na inarusha matangazo yake kutoka hapa Ruzinga, Kayanga.

Wazazi wilayani Karagwe wahimizwa kuwapeleka watoto wao katika vyuo vya ufundi

17.11.2012 na Adelina Rweramula Mwenyekiti wa halmashauri ya wilaya Karagwe Mh.Kashunju Runyogote amewataka wazazi wa wilaya Karagwe kupeleka watoto shule pindi wanapo hitimu elimu yao ya msingi na sekondari. Amesema hayo kwenye mahafali ya ishirini na nne (24) yaliyofanyika kwenye … Continue reading

Posted in HABARI ZA SIKU, News from Karagwe - Tanzania | Tagged , , | Leave a comment