Category Archives: News from Karagwe – Tanzania

Daily news updates from Kagera Region- North West TANZANIA as reported and broadcast on FADECO RADIO.

Wazazi wilayani Karagwe wahimizwa kuwapeleka watoto wao katika vyuo vya ufundi

17.11.2012 na Adelina Rweramula Mwenyekiti wa halmashauri ya wilaya Karagwe Mh.Kashunju Runyogote amewataka wazazi wa wilaya Karagwe kupeleka watoto shule pindi wanapo hitimu elimu yao ya msingi na sekondari. Amesema hayo kwenye mahafali ya ishirini na nne (24) yaliyofanyika kwenye … Continue reading

Posted in HABARI ZA SIKU, News from Karagwe - Tanzania | Tagged , , | Leave a comment

Orange Freshened Sweet Potatoes- a hope of health for millions in Tanzania unravelled!!

Farmers in Missenyi and Muleba districts of kagera Region in north western part of Tanzania are due to benefit from a new programme that is promoting the Orange Freshened Sweet Potatoes (OFSP) as a means to mitigate vitamin A deficiency … Continue reading

Posted in News from Karagwe - Tanzania | Leave a comment

FADECO RADIO YAELEZA UMUHIMU WA TAARIFA ZA UTABIRI WA HALI YA HEWA

MACHACKOS, Kenya Utabiri wa hali ya hewa ni muhimu sana katika kumusaidia mkulima kuweza kufanya mipangilio mizuri ya shughuri zake za uzalishaji. Hayo yemebainishwa katika mkutano ambao umefanyika leo katika wilaya ya Machakos nchini Kenya, katika kituo cha utafiti cha … Continue reading

Posted in News from Karagwe - Tanzania | Leave a comment

RADIO FADECO YAWAPA SAUTI WATU WENYE ULEMAVU WILAYANI KARAGWE

Zaidi ya viongozi 70 kutoka katika mashirika na taasisi zinazowasaidia watu wenye ulemavu mkoani Kagera, wamehudhuria kongamano liloandaliwa na radio FADECO katika kilichoelezwa kama zoezi la kutoa taarifa ya utafiti juu ya watu wenye ulemavu wilayani Karagwe. Mkutano huo, umezinduliwa … Continue reading

Posted in News from Karagwe - Tanzania | Leave a comment

Vyanzo vya maji moto ni njia mbadala wa kutengeneza nishati ya umeme

Habari hii ni kutoka NAIVASHA, KENYA, 27.4.2012 Wakati nchi iko katika mikakati ya kuanzisha vyanzo mbadala vya umeme kwa ajili ya kupata nishati ya kuchochea ukuuaji wa viwanda na kuboresha maisha ya wananchi, imebaika kuwa, vyanzo ya maji moto kama … Continue reading

Posted in News from Karagwe - Tanzania, Uncategorized | Leave a comment