-
Recent Posts
- Wazazi wilayani Karagwe wahimizwa kuwapeleka watoto wao katika vyuo vya ufundi
- Habari za Karagwe TAREHE 17.11.2012
- FADECO YAPEWA TUZO YA MLIPA KODI NA TRA-KAGERA MWAKA 2012
- Irrigation using a pump attached to a motorcycle set to increase agricultural production in Tanzania
- Orange Freshened Sweet Potatoes- a hope of health for millions in Tanzania unravelled!!
Recent Comments
Mr WordPress on Hello world! Archives
Categories
Meta
Author Archives: fadeco
Irrigation using a pump attached to a motorcycle set to increase agricultural production in Tanzania
Here is a new invention by a Kenyan innovator, to help farmers pump water from shallow wells to beyond 1km for irrigation using a bodaboda (pikipiki). At a time when armers are grappling with efects o climate change like changes … Continue reading
Posted in Uncategorized
Leave a comment
Orange Freshened Sweet Potatoes- a hope of health for millions in Tanzania unravelled!!
Farmers in Missenyi and Muleba districts of kagera Region in north western part of Tanzania are due to benefit from a new programme that is promoting the Orange Freshened Sweet Potatoes (OFSP) as a means to mitigate vitamin A deficiency … Continue reading
Posted in News from Karagwe - Tanzania
Leave a comment
FADECO RADIO YAELEZA UMUHIMU WA TAARIFA ZA UTABIRI WA HALI YA HEWA
MACHACKOS, Kenya Utabiri wa hali ya hewa ni muhimu sana katika kumusaidia mkulima kuweza kufanya mipangilio mizuri ya shughuri zake za uzalishaji. Hayo yemebainishwa katika mkutano ambao umefanyika leo katika wilaya ya Machakos nchini Kenya, katika kituo cha utafiti cha … Continue reading
Posted in News from Karagwe - Tanzania
Leave a comment
FADECO YAENDESHA MAFUNZO KWA WAANDISHI WA HABARI NA WATANGAZI JINSI YA KURIPOTI MASUALA YAHUSUYO WATU WENYE ULEMAVU KUANZIA 12-14 April 2012, Kayanga, Karagwe. na Juhudi Felix
Waandishi wa habari wameombwa kutumia vipaji vyao na elimu waliyo nayo, ili kutoa fursa kwa makundi ya watu wasio kuwa na sauti, ili waweze kusikilizwa. Hayo yamesemwa na Mkrugenzi wa radio FADECO katika mafunzo ya siku 3 kwa waandishi wa … Continue reading
Posted in Uncategorized
Leave a comment
RADIO FADECO YAWAPA SAUTI WATU WENYE ULEMAVU WILAYANI KARAGWE
Zaidi ya viongozi 70 kutoka katika mashirika na taasisi zinazowasaidia watu wenye ulemavu mkoani Kagera, wamehudhuria kongamano liloandaliwa na radio FADECO katika kilichoelezwa kama zoezi la kutoa taarifa ya utafiti juu ya watu wenye ulemavu wilayani Karagwe. Mkutano huo, umezinduliwa … Continue reading
Posted in News from Karagwe - Tanzania
Leave a comment
Vyanzo vya maji moto ni njia mbadala wa kutengeneza nishati ya umeme
Habari hii ni kutoka NAIVASHA, KENYA, 27.4.2012 Wakati nchi iko katika mikakati ya kuanzisha vyanzo mbadala vya umeme kwa ajili ya kupata nishati ya kuchochea ukuuaji wa viwanda na kuboresha maisha ya wananchi, imebaika kuwa, vyanzo ya maji moto kama … Continue reading
Fadeco Community Radio – Karagwe Tanzania
A community Radio that was started in 2007,broadcasting in Kiswahili language in Tanzania with an estimated audience of above 5, million listeners , spread across North west part of Tanzania with an extended coverage in neighbouring countries, Uganda,Rwanda and Burundi. … Continue reading
Posted in Uncategorized
Leave a comment