Monthly Archives: April 2012

FADECO RADIO YAELEZA UMUHIMU WA TAARIFA ZA UTABIRI WA HALI YA HEWA

MACHACKOS, Kenya Utabiri wa hali ya hewa ni muhimu sana katika kumusaidia mkulima kuweza kufanya mipangilio mizuri ya shughuri zake za uzalishaji. Hayo yemebainishwa katika mkutano ambao umefanyika leo katika wilaya ya Machakos nchini Kenya, katika kituo cha utafiti cha … Continue reading

Posted in News from Karagwe - Tanzania | Leave a comment

FADECO YAENDESHA MAFUNZO KWA WAANDISHI WA HABARI NA WATANGAZI JINSI YA KURIPOTI MASUALA YAHUSUYO WATU WENYE ULEMAVU KUANZIA 12-14 April 2012, Kayanga, Karagwe. na Juhudi Felix

Waandishi wa habari wameombwa kutumia vipaji vyao na elimu waliyo nayo, ili kutoa fursa kwa makundi ya watu wasio kuwa na sauti, ili waweze kusikilizwa. Hayo yamesemwa na Mkrugenzi wa radio FADECO katika mafunzo ya siku 3 kwa waandishi wa … Continue reading

Posted in Uncategorized | Leave a comment

RADIO FADECO YAWAPA SAUTI WATU WENYE ULEMAVU WILAYANI KARAGWE

Zaidi ya viongozi 70 kutoka katika mashirika na taasisi zinazowasaidia watu wenye ulemavu mkoani Kagera, wamehudhuria kongamano liloandaliwa na radio FADECO katika kilichoelezwa kama zoezi la kutoa taarifa ya utafiti juu ya watu wenye ulemavu wilayani Karagwe. Mkutano huo, umezinduliwa … Continue reading

Posted in News from Karagwe - Tanzania | Leave a comment

Vyanzo vya maji moto ni njia mbadala wa kutengeneza nishati ya umeme

Habari hii ni kutoka NAIVASHA, KENYA, 27.4.2012 Wakati nchi iko katika mikakati ya kuanzisha vyanzo mbadala vya umeme kwa ajili ya kupata nishati ya kuchochea ukuuaji wa viwanda na kuboresha maisha ya wananchi, imebaika kuwa, vyanzo ya maji moto kama … Continue reading

Posted in News from Karagwe - Tanzania, Uncategorized | Leave a comment

Fadeco Community Radio – Karagwe Tanzania

A community Radio that was started in 2007,broadcasting in Kiswahili language in Tanzania with an estimated audience of above 5, million listeners , spread across North west part of Tanzania with an extended coverage in neighbouring countries, Uganda,Rwanda and Burundi. … Continue reading

Posted in Uncategorized | Leave a comment

Hello world!

Welcome to WordPress.com! This is your very first post. Click the Edit link to modify or delete it, or start a new post. If you like, use this post to tell readers why you started this blog and what you … Continue reading

Posted in Uncategorized | 1 Comment